Menaka (kwa Kibambara Menaka Dineja) ni mkoa wa Mali ulioundwa kisheria mwaka 2012 kutoka sehemu ya mashariki ya Mkoa wa Gao. [1] [2]
Uuanzishwaji halisi wa mkoa huo ulifanyika tarehe 19 Januari 2016 kwa kumteua Daouda Maïga kama gavana wa mkoa.[3] [4] Wajumbe wa baraza la mpito wa mkoa waliteuliwa tarehe 14 Oktoba 2016. [5]
Mkoa umegawanyika katika wilaya (cercles) nne: Anderamboukane, Inekar, Tidermene, na Menaka, eneo la mji mkuu, pia hujulikana Menaka. [3]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)