Mlima Satima (kutoka Kimasai: Oldoinyo Lesatima, yaani "mlima wa ndama"[1]) ni kilele kirefu zaidi cha milima ya Aberdare nchini Kenya ukiwa na kimo wa mita 4,001 juu ya usawa wa bahari[2][3][4].
Satima ni mlima wa tatu kwa urefu nchini Kenya. Unapatikana katika kaunti ya Nyeri.
- ↑ Mary Fitzpatrick, Matthew Fletcher, David Wenk, Trekking in East Africa (Lonely Planet Publications, 2003), p. 190
- ↑ "Africa Ultra-Prominences" Peaklist.org. Listed as "Oldoinyo Lesatima". Retrieved 2012-01-10.
- ↑ New Encyclopædia Britannica vol. 1 (2005): "The range has an average elevation of 11000 feet (3350 m) and culminates in Oldoinyo Lesatima (13120 feet [3999 m]) and Ilkinangop (12815 feet [3906 m])."
- ↑ Mohamed Amin, Duncan Willetts, Brian Tetley, Kenya: the magic land (Bodley Head, 1988), p. 126
- Scott, Penny (1998). From Conflict to Collaboration: People and Forests at Mount Elgon, Uganda. IUCN. ISBN 2-8317-0385-9.
0°20′59″S 36°37′00″E / 0.34972°S 36.61667°E / -0.34972; 36.61667
| Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mlima Satima kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |