Mnarani (Kilifi)

Mnarani ni kata ya kaunti ya Kilifi, eneo bunge la Kilifi Kaskazini, nchini Kenya[1].

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Kulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya kusini ya Kenya kwenye Bahari ya Hindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]