Monatik

Dmytro Monatyk (anajulikana kitaalamu kama MONATIK, alizaliwa Lutsk, 1 Aprili 1986) ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo,[1] mcheza dansi, na mtunzi wa muziki wa Ukraine.

Alifungua nusu fainali ya kwanza ya Shindano la Wimbo wa Eurovision 2017 mnamo Mei 9.[2]

  1. StarPro (27 Machi 2016), Green Grey feat MONATIK – Под дождем, iliwekwa mnamo 10 Mei 2017{{citation}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Opening act rehearses Eurovision Song Contest 2017 eurovisionary.com Retrieved 10 May 2017
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Monatik kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.