Morro Negro ni kilima kilichopo karibu na pwani ya mashariki ya kisiwa cha Cape Verde nchini Angola. Mwinuko wake ni 156m. Cabeça dos Tarrafes ni Kijiji kilichopo karibu na kilima Cha Morro Negro ni takribani 5.5km kaskazini magharibi
Kilima icho ni sehemu ya Hifadhi ya Asili ya Turtle ambayo inashughulikia eneo la nchi kavu na Majini[1][2]
Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Morro Negro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
{Jamii:jiografia ya Angola]]