Mounkaïla Aïssata

Mounkaïla Aïssata ni mwanasiasa wa Niger ambaye ni mbunge wa kike pekee. Aïssata pia ni mbunge wa Bunge la Afrika: katika Bunge la Afrika, yeye ni mjumbe wa Kamati ya Jinsia, Familia, Vijana na Watu wenye Ulemavu.[1]

  1. "The Individual Voice as a Political Voice", Women, Art, and Technology, The MIT Press, 2003, ISBN 978-0-262-27896-6, iliwekwa mnamo 2021-06-27
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mounkaïla Aïssata kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.