Mto Bonny unapatikana nchini Nigeria (Jimbo la Rivers)[1] na kuishia katika bahari ya Atlantiki.
4°23′N 7°06′E / 4.383°N 7.100°E
Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Bonny kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |