Mto Nkusi unapatikana magharibi mwa Uganda (wilaya ya Kakumiro na wilaya ya Kibaale).
Maji yake yanaingia katika ziwa Albert. Katikati ya mwendo wake yanachanganyikana na ya mto Kafu kwa sehemu fulani.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Nkusi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |