Mto Pager unapatikana kaskazini mwa Uganda (wilaya ya Kotido, wilaya ya Kitgum na wilaya ya Gulu) na kuingia katika mto Achwa ambao unaishia katika Nile Nyeupe nchini Sudan Kusini.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Pager kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |