Mukesh Chandrakar (1993 – 1 Januari 2025) alikuwa mwandishi wa habari kutoka jimbo la Chhattisgarh, India. Inadaiwa aliuawa kwa kugundua na kufichua rushwa katika mradi wa maendeleo ya barabara. [1]
![]() |
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mukesh Chandrakar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |