Chifu Muraina Oyelami (alizaliwa 21 Februari 1940) ni mchoraji na mpiga ngoma kutoka Nigeria mwenye asili ya Wayoruba.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Muraina Oyelami kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |