Mutomo ni mji wa Kenya kusini katika kaunti ya Kitui.
Una wakazi 17,000 hivi.
Pia ni kata ya Eneo bunge la Kitui Kusini[1].
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mutomo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |