Muyiwa Ademola (alizaliwa 26 Januari 1971) ni mwigizaji wa Nigeria wa Nollywood, mtengenezaji wa filamu, muandaaji na pia muongozaji.[1] Mwaka 2005 filamu yake ya ORI ilishinda tuzo ya 1st Africa Movie Academy Awards. Mwaka 2008 alichaguliwa kuingia katika tuzo za 4th Africa Movie Academy Awards.[2][3]
Alizaliwa tarehe 26 Januari 1971 huko Abeokuta, mji mkuu wa jimbo la Ogun nchini Nigeria.[4]
Alijiunga rasmi na uchezaji wa filamu kupitia kwake Charles Olumo, na anajulikana zaidi kama Agbako.[5] ba baadae alikutana na muongozaji wa filamu aitwae S.I ambae alimfundisha kuigiza na kutayarisha filamu .[6] Alianza rasmi uigizaji wa filamu mwaka 1991, na mwaka 1995, alianza rasmi filamu ya kwanza aliyoiandika iitwayo Asise Tangu mwaka 1995, amekuwa akiandaa filamu katika lugha ya Kiyoruba zikiwa zinatoka Nollywood.[7] Mwezi Januari mwaka 2013 alipata ajali iliyosababisha kifo chake [8]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)

: CS1 maint: archived copy as title (link) CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: archived copy as title (link) CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Muyiwa Ademola kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |