Myrsini Malakou

Myrsini Malakou ni mwanabiolojia kutoka Ugiriki. Alipewa Tuzo ya Mazingira ya Goldman mnamo 2001, kwa michango yake kwa uhifadhi wa maeneo oevu (wetlands) ya Préspa, pamoja na mwanabiolojia mwenzake Giorgos Catsadorakis.[1][2]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Myrsini Malakou kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. "Europe 2001. Giorgos Catsadorakis & Myrsini Malakou. Greece. Land Preservation". Tuzo ya Mazingira ya Goldman. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 23 Novemba 2010. Iliwekwa mnamo 21 Novemba 2010. {{cite web}}: Check date values in: |accessdate= na |archivedate= (help)
  2. https://mava-foundation.org/blog-4-icons-insight-prespa/