Nanako Fujii (藤井 菜々子, Fujii Nanako, alizaliwa mei 1999) ni mwanariadha wa kutembea wa Japani.[1] Anaiwakilisha Japani kwenye michuano ya riadha ya Dunia 2019. Alikuwa wa saba kwenye mbio za wanawake za kilomita 20.[2]