Naro Moru

MtKenya gletscher


Naro Moru
Nchi Kenya
Kaunti Nyeri
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 2,643

Naro Moru ni mji wa Kenya ya kati, katika Kaunti ya Nyeri.

Mto Naro Moru unapita katikati yake.