Nathalie Des Rosiers CM OOnt (alizaliwa 1959) ni wakili, msomi na mwanasiasa wa zamani huko Ontario, Kanada. Nathalie ni Mkuu wa 6 katika Chuo cha Massey na katika Chuo Kikuu cha Toronto.[1]
Nathalie Alizaliwa Montreal, alisomea sheria katika Chuo Kikuu cha Montréal na akapokea LLM kutoka Chuo Kikuu cha Harvard.[2]
Nathalie Alichaguliwa kama mgombea wa Liberal katika uchaguzi mdogo wa Novemba 2016 uliofanyika katika eneo la Ontario la Ottawa-Vanier kufuatia kujiuzulu kwa Madeleine Meilleur.
{{cite web}}
: More than one of |accessdate=
na |access-date=
specified (help); More than one of |archivedate=
na |archive-date=
specified (help); More than one of |archiveurl=
na |archive-url=
specified (help)
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nathalie Des Rosiers kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |