Nature | |
---|---|
Jina la kuzaliwa | Jermain Baxter |
Amezaliwa | 5 Desemba 1972 |
Miaka ya kazi | 1993–hadi leo |
Studio | Columbia Records |
Ameshirikiana na | The Firm, Nas |
Jermain Baxter (amezaliwa tar. 5 Disemba, 1972), hujulikana kwa jina lake la kisanii kama Nature, ni rapa kutoka nchini Marekani. Hasa hujulikana kwa ushirikiano wake na rapa mzaliwa mwenzie kutoka huko mjini Queensbridge- rapa Nas na kuchukua nafasi ya Cormega katika kundi la The Firm.[1]
Albamu
Compilation Albums
EPs
Kandamseto
Albamu za Kolabo