Ndazola, ni ngoma ya kitamaduni ya Kiafrika ya Botswana inayochezwa na watu wa kalanga. [1] Ndazola ni ngoma iliyozoeleka katika sehemu za kaskazini za Botswana ambazo ni pamoja na Palapye, Francistown, Mathangwane, Goshwe, Tonota na nyinginezo.[2]