Ndiole Sène (alizaliwa 7 Februari 2003) ni mwanamke mchezaji wa mpira wa mkono kutoka Senegal anayechezea timu ya Espoir du Walo pamoja na timu ya taifa ya Senegal.[1]
Alishiriki katika Mashindano ya Dunia ya Mpira wa Mkono ya Wanawake ya 2019 huko Japan..[2]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ndiole Sène kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |