Ndukaku Alison (alizaliwa 12 Agosti 1991) ni mwanasoka wa kulipwa kutoka Nigeria.
Alison alitumia muda mwingi katika maisha yake kucheza nchini Ufini ambapo alichezra vilabu vya RoPS [1] na AC Kajaani. Mnamo 2016 alianza kuchezea klabu ya Chittagong Abahani Limited huko Bangladesh. Mnamo 2018 Alison alicheza Kombe la AFC katika klabu ya Abahani Limited Dhaka akifunga bao moja [2]. Mnamo 2019 Alison aliendelea na uchezaji wake katika Ligi Kuu ya Bangladesh akichezea Sheikh Russel KC. [3] Mnamo tarehe 2 Februari 2021, Alison alisajiliwa na FC Haka. [4].
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ndukaku Alison kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |