Neil Leyton ni mwimbaji na mpiga gitaa wa Kiporta na Kanada alizaliwa huko Lisbon, Ureno. Ameishi na kutumbuiza muziki huko Toronto, London, na Stockholm.[1][2][3]
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Neil Leyton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |