Nicholas Kipyator Kiprono arap Biwott (1940 - 11 Julai 2017) alikuwa mfanyabiashara, mwanasiasa, na mfadhili wa Kenya, ambaye alifanya kazi katika serikali ya baba wa uhuru wa Kenya, Jomo Kenyatta na Daniel arap Moi.[1]
![]() | Makala hii kuhusu mwanasiasa huyo wa Kenya bado ni mbegu. Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |