Nkemjika Natalie Ezurike (alizaliwa Machi 19, 1992) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Kanada. Amecheza kama mshambuliaji katika timu ya taifa ya wanawake ya Kanada na klabu ya Kiyahudi yaASA Tel Aviv.[1][2][3]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nkem Ezurike kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |