Noora bint Hathal Al Dosari ni bintimfalme wa Qatar na mke wa tatu wa Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani, Emir wa Qatar.[1][2]
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Noora bint Hathal Al Dosari kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |