Orodha ya viwanja vya ndege nchini Togo


Hii ni orodha ya viwanja vya ndege nchini Togo, vilivyopangwa kulingana na maeneo.

Togo, ni nchi iliyoko Afrika Magharibi inayopakana na Ghana upande wa magharibi, Benin upande wa mashariki, Burkina Faso upande wa kaskazini, na Ghuba ya Guinea ambayo ipo upande wa kusini. Mji mkuu wa Togo ni Lomé . Nchi imegawanywa katika mikoa mitano.

Viwanja vya ndege

[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]