Osvaldo Padilla

Osvaldo Montecillo Padilla (alizaliwa 15 Agosti 1942) ni askofu mkuu kutoka Ufilipino wa Kanisa Katoliki ambaye alitumia maisha yake katika idara ya kidiplomasia ya Vatikani.

Alikuwa askofu mkuu mwaka 1991 na alihudumu kama Balozi wa Papa (Apostolic Nuncio) katika nchi kadhaa kabla ya kustaafu mwaka 2017.[1]

  1. "Monseñor Padilla, nuncio apostólico, de Costa Rica a Corea". Zenit (kwa Kihispania). 13 Aprili 2008. Iliwekwa mnamo 6 Mei 2019.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.