Ovide William Mercredi (alizaliwa Januari 30, 1946) ni mwanasiasa wa Mkanada na . Ovide William Mercredi alikuwa mkuu wa zamani wa kitaifa wa Bunge la Mataifa ya Kwanza. Pia alikuwa raisi wa zamani wa Chama cha Kidemokrasia cha Manitoba.[1]"
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ovide Mercredi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |