Pablo Varela Server

Pablo Varela Server (2 Julai 19426 Januari 2024) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Hispania.

Alihudumu kama askofu msaidizi wa Panamá kuanzia 2004 hadi 2019. Pia alikuwa askofu wa jimbojina la Macomades Rusticiana hadi alipopata kifo.[1]

  1. "Monseñor Monseñor Pablo Varela" (kwa Kihispania). Roman Catholic Archdiocese of Panamá. 30 Novemba 2015. Iliwekwa mnamo 26 Novemba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.