Paco Sery (alizaliwa mnamo 1 mei 1956, Côte d'Ivoire)[1] ni mwanamuziki wa dunia na mpiga ngoma wa jazz fusion[2]. Aliimba na Joe Zawinul [3] na Eddy Louiss. Pia ana Bendi yake mwenyewe ambayo alitoa albamu yake ya kwanza ya solo ya Voyages, mnamo mwaka 2000.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Afrika bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Paco Sery kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |