Paul Wattson, S.A., (16 Januari 1863 – 8 Februari 1940) alikuwa kasisi wa Marekani aliyeanzisha Jumuiya ya Upatanisho (Society of the Atonement) pamoja na Mama Lurana White, mbali ya kuanzisha Wiki ya Umoja wa Wakristo (Christian Unity Octave), akiwa ndani ya Kanisa la Anglikana.
Baadaye alipokewa katika Kanisa Katoliki na anakumbukwa kama mtetezi wa kuleta umoja miongoni mwa Wakristo wa madhehebu mbalimbali.[1][2][3][4][5]
Wattson ametangazwa kuwa Mtumishi wa Mungu, hatua ya kwanza kuelekea kutambuliwa kama mtakatifu.[6][7]
Founder of the Church Unity Octave, which was a precursor of the Week of Prayer for Christian Unity.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
The Catholic convert who founded the Society of the Atonement, Father Paul Wattson, S.A., could be one step closer to recognition as a saint.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
On November 11, 2014, the U.S. Conference of Catholic Bishops endorsed the cause for canonization of Father Paul Wattson, SA, Servant of God, founder of the Franciscan Friars of the Atonement, at their fall meeting in Baltimore.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |