Paulina Käte Krumbiegel (alizaliwa 27 Oktoba 2000) ni mchezaji wa soka wa nchini Ujerumani na ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya wanawake ya 1899 Hoffenheim na timu ya taifa ya wanawake ya Ujerumani.[1]
|date=, |accessdate=
(help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Paulina Krumbiegel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |