Paulina Oduro | |
---|---|
Amezaliwa | Ghana |
Kazi yake | Mwigizaji |
Watoto | Raymond Charles's Jnr |
Paulina Oduro ni mwanamuziki, mwigizaji wa Ghana , [1] pia ni mwamuzi wa maonyesho ya vipaji na mwigizaji wa michezo ya jukwaani .[2] ni mrefu wa futi 7 na inchi 8, ndiye mwanamke mrefu Ghana.
Paulina Oduro alizaliwa Sekondi-Takoradi katika Mkoa wa Magharibi wa Ghana. alipokua na miaka saba alihamia Japan kwa miaka miwili na baba yake mwanadiplomasia na mama yake, na kuchukua masomo ya kucheza piano hadi alipo fikisha umri wa miaka tisa . [3] alisafiri kuelekea London na wazazi wake alipokua na miaka 10, na kushiriki katika michezo mingi ya shule, kuigiza na kucheza.[1] Alikua muuguzi aliyehitimu muongo mmoja baadaye, lakini akiwa na umri wa miaka 21 aliacha taaluma hii na kuendelea na sanaa ya uigizaji na akaanza kuimba kitaalamu.[3]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Paulina Oduro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |