Peter Yariyok Jatau

Peter Yariyok Jatau (5 Agosti 1931 - 16 Desemba 2020) alikuwa askofu mkuu wa Kanisa Katoliki la Nigeria.

Jatau alizaliwa Nigeria na alipewa daraja ya upadre mwaka 1963. Alihudumu kama askofu mkuu msaidizi wa Jimbo kuu la Kanisa Katoliki la Kaduna, Nigeria, kuanzia mwaka 1972 hadi 1975, na kisha alihudumu kama askofu mkuu wa jimbo hilo kuanzia mwaka 1975 hadi 2007.[1]

  1. "Metropolitan Archdiocese of Kaduna, Nigeria". gcatholic.org. Iliwekwa mnamo 2020-12-17.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.