Pierre-Célestin Nkou (8 Novemba 1927 – 16 Mei 1983) alikuwa Askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Kamerun.
Alipadrishwa mwaka 1956, Nkou aliteuliwa kuwa Askofu wa Jimbo la Sangmélima, Cameroon mwaka 1963 na alikufa mnamo 1983 akiwa bado katika wadhifa huo.[1]
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |