Pierre-Paul Guérin de Tencin (Grenoble, 22 Agosti 1679 – 2 Machi 1758) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki wa Kifaransa, Askofu Mkuu wa Embrun na Lyon, na kardinali.
Dada yake alikuwa Claudine Guérin de Tencin.[1]
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |