Preng Doçi (alijulikana kama Primus Docci kwa Kiitalia, 1846 – 1917) alikuwa kiongozi wa kisiasa na kidini kutoka Albania, pia alikuwa mshairi. Alikuwa mchangiaji muhimu katika uundaji wa Alfabeti ya Bashkimi ya Ki-Albania.[1]
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |