Quotidiano di Sicilia ni gazeti la kila siku la kikanda la Italia linalohusiana na kisiwa cha Sicilia.[1]
Quotidiano di Sicilia kilianzishwa mwaka 1979 na kipo mjini Catania. Mnamo 2008, gazeti hili lilikuwa na usambazaji wa nakala 21,500.