Rachel Louise Corsie (alizaliwa 17 Agosti 1989)[1][2] ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Uskoti ambae anacheza kama beki wa klabu ya Aston Villa W.F.C inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya FA (WSL) [3]. Rachel ni nahodha wa timu ya taifa ya Uskoti. [4]
{{cite web}}
: Unknown parameter |dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help)
{{cite web}}
: Cite has empty unknown parameter: |dead-url=
(help)
{{cite web}}
: Unknown parameter |dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rachel Corsie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |