Raghav Mathur (anajulikana kitaalamu kama Raghav tu, alizaliwa 2 Aprili 1981) ni mwimbaji kutoka Kanada.
Ametoa albamu tatu za studio: albamu ya kwanza ya Storyteller mwaka 2004 na Identity mwaka 2009 na The Phoenix mwaka 2012.[1][2]
![]() |
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Raghav kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |