Ralph Baldock (au Ralph de Baldoc) alikuwa Askofu wa London katika enzi za kati.
Baldock alichaguliwa kuwa askofu tarehe 24 Februari 1304, akathibitishwa tarehe 10 Mei, na akatawazwa tarehe 30 Januari 1306.[1][2]