Rama Brew | |
---|---|
Amezaliwa | Rama Brew |
Kazi yake | Mwigizaji, mtangazaji wa televisheni na mwanamuziki wa jazz |
Miaka ya kazi | 1971, hadi sasa |
Rama Brew ni mwigizaji wa zamani nchini Ghana, mtu wa televisheni na mwanamuziki wa jazz. [1][2]
Kama mtoto Rama alitaka kuwa mcheza muziki lakini baba yake hakuridhia. Alitambulishwa na shangazi yake katika televisheni ya Ghana Broadcasting Corporation(GBC).[3]
Rama Brew ana mtoto mmoja wa kike anaejulikana kama Michelle Attoh ambae pia ni Mwigizaji .[4]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: More than one of |accessdate=
na |access-date=
specified (help)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rama Brew kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |