Rania Aouina

Rania Aouina (alizaliwa 5 Mei 1994) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tunisia. Anacheza kama kiungo wa Klabu ya Thonon Évian FC na timu ya taifa ya Wanawake ya Tunisia.[1][2]

  1. "Rania Aouina". Footofeminin.fr (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 9 Agosti 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Competitions - AWC 2014 Qualifiers (2014) - Match Details". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-07-23. Iliwekwa mnamo 2024-03-25.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rania Aouina kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.