Ranieri Scacceri (pia Raineri, Raniero n.k.; 1115/1117 – 1160 hivi) alikuwa kwa miaka mingi mkaapweke katika Nchi Takatifu alipoishi kwa kupokea sadaka tu, kabla ya kurudi kwao Pisa, Italia[1], anapoheshimiwa kama msimamizi wa mji.[2]
Alitangazwa na Papa Aleksanda III kuwa mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Juni[3].
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |