Rehema Namakula | |
Amezaliwa | 24 Aprili 1991 Lubaga |
---|---|
Nchi | Uganda |
Majina mengine | Rema |
Kazi yake | Msanii |
Rehema Namakula (anajulikana zaidi kama Rema; alizaliwa 24 Aprili 1991) ni msanii wa Uganda.[1]
Rema alizaliwa katika hospitali ya Lubaga, tarehe 24 Aprili 1991, kwa marehemu Hamida Nabbosa na marehemu Mukiibi Ssemakula.[2] Yeye ndiye mzaliwa wa mwisho katika familia yake. Alisoma Shule ya Msingi Kitante. Alisoma pia Shule ya Sekondari ya Saint Balikudembe kwa masomo yote ya O-Level na A-Level. Baadaye, alijiunga Chuo Kikuu cha Kyambogo ambayo hakuwahi kumaliza na anasema ana mpango wa kufanya hivyo baadaye.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rema Namakula kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |