Remi Isore

Wafiadini Wakatoliki wa China.

Remi Isore, S.J. (Bambecque, 22 Januari 1852 - Wuyi 19 Juni 1900) alikuwa padri Mjesuiti kutoka Ufaransa aliyefia Ukristo akifanya umisionari nchini China wakati wa Uasi wa Waboksa.

Aliuawa pamoja na Modesti Andlauer wakiwa wanasali mbele ya altare[1].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe tarehe 19 Juni[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.