Restituta Joseph Kemi | |
Amezaliwa | 30 Julai 1971 Singida, Tanzania |
---|---|
Nchi | Tanzania |
Kazi yake | Mwanariadha |
Restituta Joseph Kemi (alizaliwa Singida, 30 Julai 1971)[1] ni mwanariadha wa mbio ndefu wa Tanzania.
Alibeba mara mbili bendera ya Tanzania katika hafla za ufunguzi wa michezo ya Olimpiki majira ya joto mwaka 2000 na 2004.
Alikuwa mshindi wa mbio za Corrida de Langueux mwaka 1997 na 1999[2].
Inawakilisha Tanzania | |||||
---|---|---|---|---|---|
1998 | World Cross Country Championships | Marrakech, Moroko | ya 5 | Mbio fupi | |
17 | Mbio ndefu | ||||
1999 | World Cross Country Championships | Belfast, Uingereza | ya 5 | Mbio fupi | |
12 | Mbio ndefu | ||||
Mashindano ya Dunia]] | Seville, Hispania | 13 | 10,000 m | ||
2000 | Mashindano ya Dunia ya Nyika | Budapest, Hungaria | 22 | Mbio ndefu | |
10 | Timu | ||||
2001 | Mashindano ya Dunia ya Nyika | Osten, Ubelgiji | 24 | Mbio fupi | |
ya 8 | Timu | ||||
13 | Mbio ndefu | ||||
9 | Timu | ||||
Mashindano ya Dunia ya Nusu Marathon]] | Bristol, Uingereza | 15 | Nusu marathoni | ||
2002 | Michezo ya Kijeshi ya Afrika]] | Nairobi, Kenya | 2 | 5000 m[3] |