Reynelda Muse

Tamasha la Sanaa la Cherry Creek.

Reynelda Muse (alizaliwa 1946) ni mwandishi wa habari. Mnamo mwaka 1969 alikuwa mwanamke wa kwanza Mmarekani mweusi kuendesha kipindi cha habari Colorado, kushirikiana kutangaza habari katika KOA-TV (later renamed KCNC-TV) ndani ya Denver.Mnamo mwaka 1980 alikuwa ni miongoni mwa kundi la waandishi katika kituo cha CNN.

Ni mshindi wa tuzo nyingi ikiwa ni pamoja na Emmy Award, Elevision Scholarship ya Uandishi wa Habari, ambayo kila mwaka inapewa mwanafunzi wa Kiafrika wa Amerika anayehusika katika uandishi wa habari wa runinga, ilianzishwa kwa heshima yake na Chama cha Waandishi wa Habari Weusi wa Colorado.

Maisha ya awali na elimu

[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa Reynelda Ware huko Ohio, binti wa Arthur Allan Ware, mwenye asili ya Pittsburgh, na Evelyn Cook. Ana dada mmoja.[1] Alihudhuria Chuo Kikuu cha Jimbo la Ohio, na kuhitimu shahada ya awali ya Kiingereza mnamo 1968.[2]


  1. "Arthur Allan Ware Obituary, 1996". Rocky Mountain News. 10 Oktoba 1996. Iliwekwa mnamo 1 Februari 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Reynalda Muse – 1997 Inductee". Heartland Chapter of NATAS. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-04-01. Iliwekwa mnamo 1 Februari 2016. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Reynelda Muse kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.