Rhythm Divine

“Rhythm Divine”
“Rhythm Divine” cover
Single ya Enrique Iglesias
kutoka katika albamu ya Enrique
Imetolewa 9 Oktoba 1999 (Marekani)
Muundo CD single
Imerekodiwa Agosti-Septemba 1999
Aina Latin pop, Pop
Urefu 3:30
Studio Interscope Records, Overbrook, Universal
Mtunzi Paul Barry na Mark Taylor
Mtayarishaji Mark Taylor na Brian Rawling
Mwenendo wa single za Enrique Iglesias
"Bailamos"
(1999)
"Be With You"
(2000)
Makasha badala
Kasha ya Single Pt. 2
Kasha ya Single Pt. 2

"Rhythm Divine" ni single ya kwanza iliyotolewa na Enrique Iglesias kutoka katika albamu yake ya lugha ya Kiingereza, Enrique. Kibao hiki kilitungwa na kutayarishwa na kikosi kilekile kilichotayarisha kibao chake kikali cha "Bailamos", Paul Barry, Mark Taylor na Brian Rawling. Video ya wimbo huu iliongozwa na Francis Lawrence.

Mapokeo ya kitahikiki

[hariri | hariri chanzo]

Kulingana na http://www.billboard.com katika tahakiki ya single, Enrique Iglesias ameleta "ufahamu wa jitihada za kuweza kudumu kwenye chati za 40", kibao hiki ni mfano tosha kwa "wasanii wa crossover kujipatia nafasi ya kupanda ngazi ya mafanikio". Naye hufananishwa na mwimbaji mwenzake wa Kilatini Ricky Martin: "Tofauti na mwenzake Ricky Martin, Iglesias yupo mbali sana kwa kujulikana.

Orodha ya nyimbo

[hariri | hariri chanzo]
UK CD1
  1. "Rhythm Divine" - 3:29
  2. "Bailamos" (Eric Morillo Main Vocal Mix) - 6:30
  3. "Rhythm Divine" (Video) - 3:29
UK CD2
  1. "Rhythm Divine" (Morales Radio Mix) - 3:13
  2. "Rhythm Divine" (Fernando G Club Mix) - 5:37
  3. "Rhythm Divine" (Mijango's Extended Mix) - 6:57

Michakaliko ya chati

[hariri | hariri chanzo]

Kibao hiki hakikupata mafanikio kama jinsi ilivyokuwa kwa "Bailamos", hata hivyo imejikongoja na kufikia katika 50 Bora huko nchini Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Australia na Uholanzi. Toleo la Kihispania la kibao hiki, -liitwa "Ritmo Total" imeshika nafasi ya kwanza kwenye Billboard Hot Latin Tracks (kwa majuma manne) na Hispania. Kibao hiki kimekwenda katika platinumu nchini Urusi kwa kuuza nakala 200,000[1].

Chati (1999)/(2000) Nafasi
iliyoshika
Australia ARIA 36
Ufaransa Top 100 27
Italia 7
Ujeruamani Top 50 36
Uholanzi 20
New Zealand [2] 2
Hispania 1
UK Singles Chart 45
US Billboard Hot 100 32
US Billboard Hot Latin Tracks 1
US Billboard Hot Dance Club Play 4
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-11-22. Iliwekwa mnamo 2011-04-01.
  2. "NZ RIANZ Top 50". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-09-21. Iliwekwa mnamo 2011-04-01. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help); Unknown parameter |https://web.archive.org/web/20110921205740/http://charts.org.nz/showitem.asp?interpret= ignored (help)