Ricarda Winkelmann

Ricarda Winkelmann (alizaliwa 1985[1][2]) ni mwanahisabati, mwanafizikia na mtaalamu wa masuala ya tabianchi wa Ujerumani. Pia ni profesa wa uchambuzi wa hali ya hewa katika chuo kikuu cha Potsdam na shirika la uchunguzi wa athari ya hali ya hewa la Potsdam. Ricarda Winkelmann alisomea elimu ya hali ya hewa, ardhi, barafu na bahari[1].

Alitunukiwa Tuzo ya Karl Scheel ya mwaka 2017.

Winkelmann alitunukiwa stashahada ya uzamili wa fizikia kutoka katika taasisi ya Potsdam ya inayojihusisha na masuala ya hali ya hewa.

  1. 1.0 1.1 ""Sie hat eine ungeheure Neugier"". Der Tagesspiegel Online (kwa Kijerumani). Iliwekwa mnamo 2022-04-07.
  2. Ronja Kolls (17 Sep 2020). "Ricarda Winkelman profile". Tagesspiegel.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)